Browsing Category

AFCON

Bissau, Sudan zagawana pointi Afcon 2021

Guinea-Bissau katika dakika za mwisho wamepoteza nafasi ya kuondoka na alama tatu kufuatia kukosa tuta dhidi ya Sudan katika dakika ya 82 ya mchezo kwenye mechi ya kwanza Kombe la Mataifa Bingwa Afrika AFCON 2021 mtanange wa Kundi C.…

Morocco yaichapa Ghana 1-0 Kundi C

Morocco wameanza vyema kampeni ya kuwania ubingwa wa Kombe la Mataifa Bingwa Afrika AFCON 2021 baada ya kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Ghana mtanange wa kwanza Kundi C. Bao pekee kwenye mechi hiyo limefungwa na Sofiane Boufal…

Guinea yapiga moja kwa Malawi

Guinea imeanza mashindano ya Kombe la Mataifa Bingwa Afrika Afcon 2022 kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Malawi katika mchezo wa kwanza wa Kundi B uliopigwa Leo Jumatatu Januari 10. Bao pekee kwenye mechi hiyo limefungwa kunako dakika ya…

Ethiopia yachapwa 1-0 na Cape Verde

Timu ya Cape Verde imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Ethiopia katika mchezo wa pili wa Kundi A Kombe la Mataifa Bingwa Afrika AFCON 2021 mchezo ambao umepigwa usiku wa siku ya Jumapili Januari 9. Katika mchezo huo, ilishuhudiwa…