Kocha wa Senegal Cisse asema kukosekana Mane si tatizo

Senegal itamkosa mshambuliaji matata, Sadio Mane wakati itakapoanza kampeni ya kutafuta ubingwa wa soka barani Afrika siku ya Jumapili dhidi ya Tanzania. Mane mwenye umri wa miaka 27, anatumikia adhabu ya kufungiwa mechi moja katika mashindano haya, baada ya kuonyeshwa kadi mbili za njano wakati wa mechi ya mwisho ya kufuzu katika michuano hii. Kocha

Continue Reading →

Afya ya winga wa Nigeria yaimarika baada ya kuzirai Misri

Afya ya Samuel Kalu, mshambuliaji wa timu ya taifa ya soka ya Nigeria inaendelea kuimarika, baada ya kuzirai wakati akifanya maezoezi nchini Misri. Hii ilitokana na joto kali linaloshuhudiwa jijini Cairo, na watalaam wa afya wamesema kuwa alikosa maji ya kutosha mwilini. Taarifa kutoka Shirikisho la soka nchini Misri, limesema kuwa Kalu, anayechezea klabu ya

Continue Reading →

Kessy ashusha presha ya Amunike katika Afcon

Mlinzi wa Tanzania na klabu ya Nkana Fc ya Zambia Hassan Ramadhan Kessy ameshusha presha ya Kocha wa Taifa Stars Emmanuel Amunike baada ya kuwepo wa uhakika kuwa staa huyo atakuwepo kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya Senegal. Awali zilikuwepo taarifa kuwa mlinzi huyo hata kuwa sehemu ya mchezo dhidi ya Senegal kutokana na kuonyeshwa

Continue Reading →

Amnesty International yakosoa mashabiki kukamatwa Misri

Shirika la kimataifa la haki za binadamu Amnesty International limeikosoa hatua ya kuwakamata mashabiki kadhaa wa soka nchini Misri kabla ya kuanza kwa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika. Katika wiki za hivi karibuni, mashabiki zaidi ya 30 wa Misri wamekamatwa wakihusishwa na makosa ya kigaidi, amesema mtafiti wa shirika hilo Hussein Baoumi. Mara

Continue Reading →

CAF yaipa tuzo Taifa Stars kabla ya kipute cha Afcon

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limekutana na timu ya taifa ya Tanzania “Taifa Stars” na kutoa tuzo kwa timu hiyo  katika kuipongezi timu hiyo kwa kushiriki mashindano ya AFCON yanayotegemea kuanza Juni 21. CAF imekutana na wachezaji pamoja na bechi la ufundi la Tanzania chini ya Kocha Emmanuel Amunike na Nahodha Mbwana Ally

Continue Reading →