Kenya yaunga mkono kupigwa marufuku wanariadha wake

Shirika linalopambana na utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu mwilini nchini Kenya, limeunga mkono hatua iliyochukuliwa ya kuwapiga marufuku wanaraidha wawili nchini humo. Afisa Mkuu mtendaji wa shirika hilo, Japhter Rugut, amesema kuwa shirika lake limechukua hatua hiyo baada ya matokeo kubainisha kuwa wanaridha hao walitumia dawa hizo. Rugut alisema kuwa alliyekuwa mshindi wa mbio

Continue Reading →

Semenya awekewa kizingiti kingine na IAAF

Shirikisho la Kimataifa la Riadha, IAAF limepinga uamuzi wa mahakama ya Uswisi, kumruhusu mwanariadha wa Afrika Kusini Caster Semenya, kushiriki katika mashindano wakati rufaa yake ikiendelea dhidi amri ya kumtaka apunguze kiwango chake cha homoni za kiume. Baada ya pingamizi ambalo IAAF imethibitisha kulipokea, jaji ataamua ikiwa Semenya ambaye ameshinda mara mbili medali ya dhahabu

Continue Reading →

Aliyekuwa mkuu wa riadha Kenya apigwa marufuku miaka kumi

Kocha wa  wanariadha wa timu  ya  taifa  ya  Kenya  katika michezo ya  Olimpiki ya  mwaka  2016 mjini Rio de Janeiro amepigwa  marufuku kwa  miaka  10 kushiriki  mchezo  huo kwa  kutoa  taarifa  ya  mapema ya uchunguzi  wa matumizi ya dawa  zinazoimarisha  misuli, doping, kwa  wanariadha  ili  kujipatia  fedha. Michael Rotich amepigwa  marufuku , na  kutozwa  faini

Continue Reading →

Kipchoge, Kosgei watawala London Marathon

Mkenya Eliud Kipchoge ameshinda London Marathon kwa mara ya nne mfululizo huku Muingereza Mo Farah aliyetarajiwa kutoa ushindani mkali akimaliza katika nafasi ya tano. Kipchoge, 34, ambaye alivunja rekodi ya dunia ya mbio za marathonn mjini Berlin mwaka jana, alikamilisha mbio za leo kwa muda wa saa mbili dakika mbili na sekunde thalathini na nane

Continue Reading →

Mo Farah aangazia mafanikio ya London Marathon

Mwanariadha nguli wa Uingereza Mo Farah amesema kushinda mbio za mwaka huu za London Marathon kutakuwa ni mafanikio sawa na mataji ya Olimpiki na sita ya dunia aliyoshinda. Farah mwenye umri wa miaka 36 mzaliwa wa Somalia – ambaye aliangazia mbio za marathon baada ya kunyakua fedha katika fainali ya mita  5,000 jijini London 2017

Continue Reading →

Bingwa wa Olimpiki Kiprop afungiwa miaka minne

Aliyekuwa bingwa wa Olimpiki wa mbio za mita 1,500 Asbel Kiprop amepiwa marufuku ya miaka minne kwa kosa la kutumia dawa za kuongeza misuli nguvu. Mkenya huyo, bingwa wa dunia mara tatu, aliundulika kutumia dawa zilizopigwa marufuku michezoni aina ya EPO baada ya kufanyiwa vipimo Novemba 2017. Mwanariadha huyo mwenye umri wa miaka 29, anasisitiza

Continue Reading →