Lewandowski ataka kikosi cha Bayern kiimarishwe

Mshambuliaji  wa  Bayern Munich  Robert Lewandowski  anataka klabu  yake  kusajili  wachezaji  bora  ambao  wataweza  kuleta  athari ya  haraka  kikosini badala  ya  wachezaji  wenye  uwezo  tu. Akizungumza  baada  ya  kipigo  cha  mabo 2-0 dhidi  ya  mahisimu wao  wakubwa  Borussia  Dortmund  katika  kombe  la  Ujerumani  la Super Cup siku  ya  Jumamosi, Lewandowski  alilalamikia  ukosefu wa  wachezaji  wanaoweza 

Continue Reading →

Dortmund waelekea Marekani bila ya beki wao Diallo

Borrusia Dortmund wameondoka Jumatatu kwenda Marekani kwa ajili ya ziara yao ya maandalizi ya msimu mpya. BVB wamesafiri bila ya beki wao wa kati Abdou Diallo ambaye anahusishwa na uhamisho wa kujiunga na mabingwa wa Ufaransa Paris Saint-Germain. Msemaji wa klabu hiyo ya Bundesliga amethibitisha habari hizo, na kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya

Continue Reading →

Bosi wa Bayern Hoeness apuuza uvumi kuhusu usajili wa Sane

Juhudi  za  Bayern Munich za kupata saini  ya  mshambuliaji  wa  Manchester City Leroy Sane  zinaonekana  kugonga  mwamba, rais  wa  klabu  hiyo Uli Hoeness amenukuliwa  akisema  katika  ripoti Jumatatu. “Unalazimika  kuwa  kidogo  na  shaka. Kuna  uwezekano  kwamba  haitawezekana. Ni  kuhusu wenda  wazimu  wa malipo ya  uhamisho,” gazeti  la  michezo  la  Kicker  lilimnukuu Hoeness. Kwa  mujibu wa 

Continue Reading →

Beckenbauer anatamani kumuona Klopp akikamata usukani Bayern

Mchezaji  nguli  wa  kandanda  wa  Ujerumani  Franz Beckenbauer  amesema  kwamba  anataka  kumuona  kocha  wa  Liverpool  Juergen Klopp katika  benchi  la  ufundi la Bayern. Wakati  Ujerumani  ikisherehekea  mafanikio  ya  Klopp  katika  Champions League  siku  ya  Jumamosi, Beckenbauer  ameliambia  gazeti maarufu Ujerumani la  Bild  kwamba  anataka  sana  kumuona  kocha  huyo wa  zamani  wa  Borussia  Dortmund  akijiunga  na 

Continue Reading →