Liverpool ndio mabingwa wapya wa Ulaya

Liverpool wamebeba kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya sita baada ya kuilaza Tottenham katika mechi iliozileta pamoja timu mbili za England katika fainali ya mjini Madrid. Mohamed Salah alifunga goli la penalti baada ya dakika mbili kufuatia makosa ya Moussa Sissoko aliyenawa mpira uliopigwa na Sadio Mane katika eneo hatari Baada ya

Continue Reading →