Hazard aiambia kwaheri Chelsea kwa kuwapa zawadi

Ni mechi ambayo alitarajiwa kuitumia katika kuwaaga mashabiki wake. Na baada ya kipenga cha mwisho kupulizwa, ndivyo mambo yalivyokuwa katika uwanja wa Olimpiki mjini Baku, Azerbaijan. Eden Hazard alifunga magoli mawili huku Chelsea ikiibamiza Arsenal katika fainali ya kombe la Ligi ya Europa na kumpatia kocha Maurizio Sarri kombe lake la kwanza tangu achukue usukani

Continue Reading →

AC Milan yatimuliwa Europa League

Olympiakos Piraues ilipata ushindi wa kushangaza wa 3-1 katika Europa League dhidi ya AC Milan na kuwaweka katika hatua ya 32 za mwisho na kuwabandua nje Wataliano hao wakati nafasi za mwisho za hatua ya mtoano zilichukuliwa Alhamisi. Mabao yote ya mechi hiyo nchini Ugiriki yalipatikana katika kipindi cha pili cha kusisimua, ambapo beki wa

Continue Reading →

Samatta aendelea kuitikisa Europa League

Sio ajabu kwamba jina lake linahusishwa na vilabu kadhaa vya Premier League ya England. Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta maarufu kama Samagoal anaendelea kubusu katika michuano ya Europa League, baada ya kuifungia klabu yake ya KRC Genk ya Ubelgiji mabao mawili katika ushindi wao wa 4-2 dhidi ya

Continue Reading →

Arsenal yaanza Europa League kwa kishindo

Arsenal imeifunga timu ya Ukraine ya Vorskla Poltava mabao 4-2 katika mechi ya kwanza ya ligi ya Ulaya, Europa League. Mabao mawili yamefungwa na mshambuliaji wa timu ya Uingereza ya Arsenal Pierre-Emerick Aubameyang raia wa Gabon. Mabao mengine mawili yamefungwa na kiungo wa timu hiyo Mesut Özil pamoja na mchezaji wa mbele, Danny Welbeck. Katika

Continue Reading →