Messi ndiye mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani

Mshambuliaji wa Barcelona na Argentina Lionel Messi ndio anayelipwa malipo ya juu zaidi kuliko wachezaji wote duniani, alilipwa dola milioni 127 katika kipindi cha miezi 12 iliyopita, kwa mujibu wa orodha ya jarida la Forbes ya wachezaji 100 wanaolipwa vizuri. Mshambuliaji wa Juventus, Mreno Cristiano Ronaldo anashikilia nafasi ya pili akilipwa dola milioni 109, huku

Continue Reading →

Migne akitangaza kikosi cha wachezaji 23 kwenda Afcon

Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Kenya Sébastian Migné amekitaja kikosi cha mwisho cha wachezaji 23 kuelekea fainali ya mataifa bingwa barani Afrika nchini Misri. Michuano ya AFCON itaanza tarehe 21 mwezi Juni, na Kenya imepangwa katika kundi moja na Algeria, Senegal na Tanzania. Kenya ambayo imerejea katika michuano hiyo baada ya miaka 15 itaanza kampeni

Continue Reading →

Ureno ndio mabingwa wa Ligi ya Mataifa ya UEFA

Na katika michezo, miaka mitatu baada ya kushinda kandanda la Ulaya kwa mara ya kwanza, Ureno na Cristiano Ronaldo wanasherehekea taji jingine la kimataifa. Ureno wameshinda mashindano ya UEFA ya Ligi ya Mataifa, baada ya kuwafunga Uholanzi 1 – 0 jana usiku na kubeba kombe lake la kwanza tangu ushindi mashindano ya Euro 2016. Bao

Continue Reading →

Baba wa Champions League Johansson afariki dunia

Lennart Johansson , rais  wa  zamani  wa shirikishio la  kandanda  barani  Ulaya  UEFA  anayeangaliwa  kama  baba  wa  mashindano  ya  Champions League  katika  bara  hilo, amefariki dunia akiwa  na  umri  wa  miaka 89, shirikisho  la  kandanda  nchini  Sweden  limesema leo Jumatano. “Soka  nchini  Sweden  linaomboleza,” shirikisho  la  soka  nchini  humo  limesema. Kipindi  cha  uongozi  wa  Johansson 

Continue Reading →

Infantino achaguliwa tena kuwa rais wa FIFA

Gianni Infantino leo amechaguliwa tena kuwa rais wa shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA kwa muhula mwingine wa miaka minne utakaomaliza mwaka 2023. Infantino mwenye umri wa miaka 49 ambaye ni raia wa Uswisi amechaguliwa kwa kura ya sauti kwa sababu ya kuwa mgombea pekee katika kongamano la FIFA linalofanyika mjini Paris, Ufaransa. Infantino

Continue Reading →

Kocha Loew aridhishwa na kufufuka kwa timu ya taifa ya Ujerumani

Kocha wa timu ya taifa ya Ujeurmani Joachim Loew amesema  kufufuka kwa  timu  ya  taifa  kumekuwa  hatua  nzuri  sana, baada ya  kuondolewa  katika  hali  ya  kukatisha  tamaa  na  kwa  fedhaha katika  fainali  za  kombe  la  dunia  mwaka  2018  nchini  Urusi. Katika  mahojiano  na  gazeti  la  michezo  la Kicker, Loew  alikiri  kwamba  hakuona mapungufu yaliyopo yataathiri

Continue Reading →

Kikosi cha Kenya cha Afcon chazusha minung’uniko

Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Kenya Mfaransa Sebastien Migne amekitaja kikosi cha awali cha wachezaji 27, kuelekea fainali ya mataifa bingwa barani Afrika, itakayoanza mwezi ujao nchini Misri. Migne amemwacha nje ya kikosi hicho mshambuliaji mkongwe na wa siku nyingi Allan Wanga, anayechezea klabu ya Kakamega Homeboyz katika ligi kuu ya Kenya nchini

Continue Reading →