Barcelona chali kwa Valencia Kombe la Copa Del Rey

Valencia ndio mabingwa wapya wa kombe la Copa Del Rey. Valencia wametwaa ubingwa huo baada ya kuwafunga FC Barcelona goli 2-1 na hivyo kufanya kuwa msimu mbaya kwa Barcelona baada ya mwezi uliopita kukosa taji la UEFA Champions League, mchezo uliofanyika dimba la Estadio Benito Villamarin Jumamosi, Mei 25. Barcelona ikimkosa Luis Suarez ilichukua mpira kwenye

Continue Reading →

Messi afunga hat trick, Barca mkono mmoja kwenye taji

Barcelona waliingia dimbani Jumapili katika mechi yao dhidi ya Real Betis wakifahamu fika kuwa nambari mbili Atletico Madrid walikuwa wameteleza dhidi ya Athletic Bilbao Jumamosi kwa kuzabwa 2 – 0. Na wakauchukulia mtanange wa Betis kama wa jukwaa la Ulaya. Wakaimarisha safu ya ulinzi na kuwashambulia Betis. Mwishowe, wakapata ushindi mnono wa 4 – 1.

Continue Reading →