Kipa Buffon aamua kuzitundika glovu

Klabu ya PSG imetoa taarifa kuwa itaachana na mlinda mlango Gianluigi Buffon pindi mkataba wake utakapo malizika siku za usoni.   Mlinda mlango huyo wa Kiitaliano alijiunga na matajiri wa Ufaransa msimu wa mwaka jana kama mchezaji huru akitokea Juventus.   Buffon, 41, amecheza michezo 25 katika mashindano yote ambapo kikosi cha kocha Thomas Tuchel

Continue Reading →

Kocha Tuchel aongezwa mkataba wake PSG hadi 2021

Kocha wa mabingwa wa Ufaransa Paris Saint Germain Thomas Tuchel amerefusha mkataba wake na klabu hiyo hadi Juni 30 2021. Mjerumani huyo alichukua usukani wa klabu hiyo ya Ligue 1 Juni 2018 na kuiongoza kutwaa taji la Ufaransa msimu huu. Hata hivyo, PSG kwa mara nyinginge ilishindwa kupata mafanikio waliyotaka katika Champions League baada ya

Continue Reading →

Di Maria aongoza maangamizi ya PSG dhidi ya Marseille

Angeweza kufunga hat trick kama angeamua kupiga penalti ambayo ilipotezwa katika dakika ya mwisho ya mchezo. Angel Di Maria alionyesha mchezo safi sana kwa kufunga mabao mawili na kupeana pasi ya bao la tatu wakati mabingwa watarajiwa wa ligi ya Ufaransa Paris Saint-Germain ikiizaba Olympique Marseille iliyokuwa pungufu mchezaji mmoja mabao 3-1 Mshambuliaji huyo Muargentina

Continue Reading →

Ushindi wa PSG wapatikana kwa gharama ya kuumia Cavani

Walifaulu kupata pointi tatu muhimu katika ligi ya Ufaransa lakini bila shaka ni ushindi ambao ulikuja na gharama yake na utakaomkosesha usingizi kocha Thomas Tuchel hasa kutokana na kibarua kinachomkodolea macho. Mshambuliaji wa Paris St-Germain Edinson Cavani huenda akaukosa mtanange wa Jumanne wiki ijayo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya 16 ya Champions League

Continue Reading →

Fabregas aifungia Monaco bao lake la kwanza

Cesc Fabregas alifunga bao lake la kwanza katika klabu ya Monaco wakati timu hiyo ya Ligue 1 ikiandika ushindi wake wa kwanza tangu kutimuliwa kwa kocha Thierry Henry. Fabregas alitikisa wavu baada ya saa moja na kuwaondoa wenyeji hao katika eneo la kushushwa ngazi kwa pointi moja. Aleksandr Golovin alikuwa ameipa Monaco uongozi baada ya

Continue Reading →