Kinda Mason Mount aweka rekodi Stamford Bridge

Kiungo mshambuliaji wa Chelsea kinda Mason Mount amefunguliwa njia na ujio wa kocha Frank Lampard naye ametia nguvu na kuanza kuvunja rekodi. Baadhi ya rekodi ambazo amevunja mpaka sasa na rekodi nyinginezo. Mason Mount, 19, amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli katika mchezo wa kwanza Stamford Bridge katika EPL tangu Paul Hughes alipofunga dhidi ya

Continue Reading →

VAR yaipokonya City ushindi dhidi ya Spurs

Ligi Kuu ya England imeendelea leo wiki ya pili tangu utepe wa EPL kukatwa, matajiri wa Manchester City wamebanwa mbavu na Tottenham dimba la Etihad 2-2, Liverpool yatakata ugenini. Manchester City ikiwa dimba la Etihad imeshindwa kufurukuta mbele ya wageni Tottenham Hotspurs ambapo mchezo umeenda kwa sare ya goli 2-2. Raheem Sterling na Kun Aguero

Continue Reading →

Arsenal mwendo mdundo, yaifunga Burnley 2 – 1

Mshambuliaji wa Arsenal Pierre-Emerick Aubameyang amefunga goli la pili la msimu huu kwa upande wake likiwa ni goli la pili katika mchezo dhidi ya Burnley, Arsenal ikishinda goli 2-1. Unakuwa ushindi wa pili wa Arsenal mfululizo baada ya kuitandika Newcastle katika mtanange wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England. Mshambuliaji wa Ufaransa Alexandre Lacazette alifungua ukurasa

Continue Reading →

Chelsea yalaani kauli za kibaguzi dhidi ya Tammy

Chelsea imepanga kuchukua hatua kali za kisheria pindi atakapopatikana mtu yeyote anayetoa maneno ya kibaguzi kwa mshambuliaji wao Tammy Abraham. Tammy Abraham, 21, tangu kumalizika kwa mchezo wa Uefa Super Cup amekuwa akitolewa maneno ya kibaguzi kupitia mtandao wa Twitter kutokana na kukosa penati ya mwisho kwenye mtanange huo baada ya dakika 120 kumalizika kwa sare

Continue Reading →

Özil na Kolasinac warejea kuivaa Burnely

Kocha wa Arsenal Unai Emery amesema wachezaji wake wawili Mesut Ozil na Sead Kolasinac wapo sawa kiakili kucheza mechi ya Jumamosi dhidi ya Burnley. Wawili hao waliachwa kwenye ushindi wa mchezo wa ufunguzi dhidi ya Newcastle United baada ya kukumbwa na tukio la kuvamiwa na vibaka mwezi Julai. Tangu muda huo kiungo mshambuliaji Ozil na beki

Continue Reading →

Kipa wa Liverpool Alisson kukaa nje kwa wiki kadhaa

Mikosi yaanza kuinyemelea Liverpool baada ya mlinda mlango wake raia wa Brazil Alisson Becker kuondolewa kwenye kikosi cha Liverpool kwa zaidi ya wiki kadhaa kwa ajili ya kupta matibabu. Kipa huyo aliyapata majeraha hayo akiitumikia Liverpool kwenye mchezo wa ufunguzi dhidi ya Norwich City ambapo Majogoo wa Jiji la Liverpool walishinda goli 4-1 huku akitoka

Continue Reading →

Mchezo wa kisasi, ni Man United au Chelsea?

Siku ya leo Jumapili England itashuhudia mtanange mkali kati ya miamba Manchester United na Chelsea mtanange wa Ligi Kuu ya England utakaopigwa dimba la Old Trafford kuanzia saa 12:30 jioni. Huu ni mchezo wa kwanza kabisa kwa timu hizi msimu wa 2019/20, timu hizi zinakuta kipindi zikiwa na muonekano tofauti kuanzia  makocha, wachezaji na mfumo.

Continue Reading →

Mkusanyiko wa matokeo ya EPL Jumamosi

Manchester City imeanza kuwania taji la tatu mfululizo kwa kuifumua West Ham United goli 5-0 katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi kuu ya England uliopigwa nyumbani kwa West Ham leo Jumamosi. Matumizi ya VAR yametumika kwa kiasi kikubwa katika kutoa ushindi wa City huku Raheem Sterling akionekana kunufaika nako baada ya kufunga goli tatu, Gabriel

Continue Reading →