Simba ndio mabingwa wa Ngao ya Jamii

Simba imefanikiwa kubeba taji la Ngao ya Jamii baada ya kuifunga Azam kwa goli 4-2 katika mchezo uliopigwa uwanja wa taifa jijini Dsm baada ya kutenguliwa kwa uwanja wa awali uliopangwa kufanyika dimba la Samora Iringa. Matokeo ya goli 4-2 yamevunja rekodi mbalimbali wakati ambao kubwa zaidi ni tangu mwaka 2001 hakuna timu iliyowai kushinda

Continue Reading →

Yanga yaitwanga Mlandege ya Zanzibar

Yanga imeitandika Mlandege FC goli 4-1 katika mchezo wa kirafiki uliopigwa dimba la Amani Visiwani Zanzibar leo Jumatano kujiandaa na mtanange wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Township Rollers ya Botswana Jumamosi  majira ya saa 12:00 jioni Yanga ilianza na asilimia kubwa ya kikosi kile kilichoanza kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi kasoro mchezaji

Continue Reading →

Ushindani wa Yanga na Simba wazinufaisha klabu hizo

Waswahili husema “Usijisifu una mbio, msifu anayekukimbiza” usemi huu waweza sadifu sawa na kile kinachoendelea nchini Tanzania kwa vilabu vikongwe kwa maana ya Simba SC na Yanga SC Simba imefikia mafanikio makubwa sana katika soka la nchi hii hata haitaji taaluma yoyote kutambua hilo, kuanzia kwenye uwekezaji, maandalizi ya timu hiyo hata usajili pia imepiga

Continue Reading →